KARIBU TUSIMULIANE UWANJA WA SIMULIZI

Karibu Tusimuliane, uwanja wa simulizi

TUSIMULINE ni wazo mama la kuthamini na kukuza uwezo wa waandishi chipukizi na wabobezi kuonyesha umahiri wao katika utunzi na uandishi wa hadithi/simulizi, kwa wasomaji wa simulizi zao kupata fursa ya kuuza na kusambaza kazi zao.

Uwanja wa simulizi

Simulizi bora ZA KISWAHILI

Tusimuliane ni tovuti bora ya hadithi na simulizi za kiswahili kutoka kwa waandishi hodari na wenye vipaji vya hali ya juu.

Wapenzi na wasomaji wa hadithi/simulizi wataweza kusoma hadithi mbalimbali zilizo andikwa na waandishi husika wenye uwezo wa kugusa hisia za wasomaji.

Simulizi hizi zinalenga kuburudisha na kueleimisha, . Pia kuikumbusha jamii yetu kupitia waandishi wa simulizi katika kuyatenda mambo mema na kuyakemea mambo mabaya lengo kuitoa jamii katika kiza cha mawazo finyu na kutengeneza jamii yenye ufumbuzi wa mambo

Tunatoa fursa

Kwa wasomaji na waandishi

TUSIMULIANE inatoa fursa ya kuelimisha na kuburudisha jamii  yote kwa kutumia fasihi simulizi na fasihi  andishi. Pia kutambua mchango na vipaji vya watunzi wengi ambao walikuwa wakipoteza umiliki halali wa kazi zao,  kukosa soko la pamoja kuuza na kusambaza nakala zao.  Tumekusudia kuongeza chachu kwa watunzi/waandishi wetu,  hii ni fursa ya ajira kwao na kuthamini uwezo waliokuwa nao katika uandishi wa hadithi/simulizi. Pia kuikumbusha jamii yetu kupitia waandishi wa simulizi katika kuyatenda mambo mema na kuyakemea mambo mabaya lengo kuitoa jamii katika kiza cha mawazo finyu na kutengeneza jamii yenye ufumbuzi wa mambo

0
simulizi
0
WASOMAJI KWA SIKU
0
MITANDAO YA KIJAMII
0
WAANDISHI

tUNAKUTHAMINI

jiunge kama mwandishi

TUSIMULIANE inatoa fursa ya kuelimisha na kuburudisha jamii  yote kwa kutumia fasihi simulizi na fasihi  andishi. Pia kutambua mchango na vipaji vya watunzi wengi ambao walikuwa wakipoteza umiliki halali wa kazi zao,  kukosa soko la pamoja kuuza na kusambaza nakala zao.  Tumekusudia kuongeza chachu kwa watunzi/waandishi wetu,  hii ni fursa ya ajira kwao na kuthamini uwezo waliokuwa nao katika uandishi wa hadithi/simulizi. Pia kuikumbusha jamii yetu kupitia waandishi wa simulizi katika kuyatenda mambo mema na kuyakemea mambo mabaya lengo kuitoa jamii katika kiza cha mawazo finyu na kutengeneza jamii yenye ufumbuzi wa mambo

Play Video

KWANINI UNAPASWA KUJIUNGA NASI?

woman-blogger-interviewing-guest-in-a-studio-using-microphone-and-professional-sound-equipment.jpg

soko

Utapata faida ya kuuza na kusambaza simulizi zako moja kwa moja kupitia tovuti hii.

keagan-henman-456216-unsplash_1.jpg

ulinzi

Pia utakwa na uwezo wa kulinda kazi zako, mtu yoyote hatoweza kusambaza kazi zako pasipo wewe mwenyewe.

pexels-photo-1194233.jpeg

mtandao

TUSIMULIANE inakupa wigo mpana wa kuongeza wapenzi na wafuatiliaje wa simulizi zako na kuona idadi ya mauzo kila siku